Exodus 35:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
sufu ya buluu, ya zambarau na nyekundu; kitani safi iliyosokotwa; manyoya ya mbuzi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu na kitani safi; singa za mbuzi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na nyuzi za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na za rangi nyekundu, na kitani nzuri, na singa za mbuzi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
sufu ya buluu, ya zambarau na nyekundu; kitani safi iliyosokotwa; manyoya ya mbuzi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu na kitani safi; singa za mbuzi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu na kitani safi; singa za mbuzi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na nyuzi za rangi ya buluu, zambarau, nyekundu, na kitani nzuri, na singa za mbuzi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
sufu ya buluu, ya zambarau na nyekundu; kitani safi iliyosokotwa; manyoya ya mbuzi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na nguo za kifalme na nywele za mbuzi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na nyuzi za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na za rangi nyekundu, na kitani nzuri, na singa za mbuzi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sufu ya samawi, ya zambarau na nyekundu; kitani safi iliyosokotwa; manyoya ya mbuzi;