Exodus 35:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kupaka na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezo kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mafuta kwa hiyo taa, na viungo vya manukato kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kupaka na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa, vikolezi kwa ajili ya mafuta ya upako pamoja na uvumba wa harufu nzuri;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezi kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mafuta kwa hiyo taa, na viungo vya manukato kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kupaka na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na mafuta ya taa na manukato ya kutengeneza mafuta ya kupaka na mavukizo yanukayo vizuri,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mafuta kwa hiyo taa, na viungo vya manukato kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kupakaa na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri;