Exodus 36:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Bezaleli na Oholiabu, pamoja na kila mwanamume ambaye Mwenyezi-Mungu amemjalia uwezo na akili ya kujua namna ya kufanya kazi zote katika ujenzi wa hema takatifu, atafanya kazi kulingana na yote ambayo Mwenyezi-Mungu aliamuru.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Bezaleli, Oholiabu na kila mtu Mwenyezi Mungu aliyempa ustadi na uwezo wa kujua jinsi ya kufanya kazi zote za kujenga mahali patakatifu wataifanya hiyo kazi kama vile Mwenyezi Mungu alivyoagiza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Bezaleli na Oholiabu watatenda kazi, na kila mtu mwenye moyo wa hekima, ambaye Bwana amemtia akili na hekima ili ajue kufanya kazi hiyo yote kwa huo utumishi wa mahali patakatifu, kama hayo yote Bwana aliyoyaagiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Bezaleli na Oholiabu, pamoja na kila mwanamume ambaye Mwenyezi-Mungu amemjalia uwezo na akili ya kujua namna ya kufanya kazi zote katika ujenzi wa hema takatifu, atafanya kazi kulingana na yote ambayo Mwenyezi-Mungu aliamuru.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Bezaleli, Oholiabu na kila mtu BWANA aliyempa ustadi na uwezo wa kujua jinsi ya kufanya kazi zote za kujenga mahali patakatifu wataifanya hiyo kazi kama vile BWANA alivyoagiza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Bezaleli, Oholiabu na kila mtu bwana aliyempa ustadi na uwezo wa kujua jinsi ya kufanya kazi zote za kujenga mahali patakatifu wataifanya hiyo kazi kama vile bwana alivyoagiza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Bezaleli na Oholiabu watatenda kazi, na kila mtu mwenye moyo wa hekima, ambaye BWANA amemtia akili na hekima ili ajue kufanya kazi hiyo yote kwa huo utumishi wa mahali patakatifu, kama hayo yote BWANA aliyoyaagiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Bezaleli na Oholiabu, pamoja na kila mwanamume ambaye Mwenyezi-Mungu amemjalia uwezo na akili ya kujua namna ya kufanya kazi zote katika ujenzi wa hema takatifu, atafanya kazi kulingana na yote ambayo Mwenyezi-Mungu aliamuru.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Besaleli na Oholiabu na watu wote, Bwana aliowapa werevu wa kweli mioyoni mwao, watazifanya kazi hizo kwa huo werevu wa kweli na kwa utambuzi na kwa hivyo, wanavyojua kufanya kazi zote za utumishi wa Patakatifu, watafanya yote, Bwana aliyoyaagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Bezaleli na Oholiabu watatenda kazi, na kila mtu mwenye moyo wa hekima, ambaye BWANA amemtia akili na hekima ili ajue kufanya kazi hiyo yote kwa huo utumishi wa mahali patakatifu, kama hayo yote BWANA aliyoyaagiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bezaleli na Oholiabu, pamoja na kila mwanaume ambaye Yawe amemujalia uwezo na akili ya kujua namna ya kufanya kazi zote katika majengo ya hema takatifu, atafanya kazi kulingana na yote ambayo Yawe aliamuru.