Exodus 36:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliyaunga mapazia matano kufanya kipande kimoja na kufanya vivyo hivyo na yale mengine matano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakayaunganisha mapazia matano pamoja, pia wakafanya vivyo hivyo kwa hayo mengine matano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaunganisha mapazia matano hili na hili; na mapazia matano mengine akayaunganisha hili na hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliyaunga mapazia matano kufanya kipande kimoja na kufanya vivyo hivyo na yale mengine matano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakayaunganisha mapazia matano pamoja, pia wakafanya hivyo hivyo kwa yale mengine matano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakayaunganisha mapazia matano pamoja, pia wakafanya vivyo hivyo kwa hayo mengine matano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaunganisha mapazia matano hili na hili; na mapazia matano mengine akayaunganisha hili na hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliyaunga mapazia matano kufanya kipande kimoja na kufanya vivyo hivyo na yale mengine matano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaunga mapazia matano kila moja na mwenzake kuwa moja, nayo matano ya pili akayaunga vivyo hivyo kila moja na mwenzake kuwa moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaunganisha mapazia matano hili na hili; na mapazia matano mengine akayaunganisha hili na hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliyaunga mapazia matano kufanya kipande kimoja na kufanya vile vile na yale mengine matano.