Exodus 36:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitia vitanzi hamsini katika pazia la kwanza la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini kwenye utepe wa pazia la pili; vitanzi vyote vilielekeana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatengeneza pia vitanzi hamsini katika pazia mmoja, na vitanzi vingine hamsini kwenye pazia la mwisho la fungu hilo lingine, navyo vitanzi vyote vikaelekeana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya matanzi hamsini katika pazia moja, na matanzi hamsini katika upindo wa pazia lililokuwa katika kiungo cha pili; hayo matanzi yalikuwa yakabiliana hili na hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitia vitanzi hamsini katika pazia la kwanza la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini kwenye utepe wa pazia la pili; vitanzi vyote vilielekeana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatengeneza pia vitanzi hamsini katika pazia la kipande cha kwanza, na vitanzi vingine hamsini mwishoni mwa pazia la pili na vitanzi vyote vikaelekeana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatengeneza pia vitanzi hamsini katika pazia mmoja, na vitanzi vingine hamsini kwenye pazia la mwisho la fungu hilo lingine, nazo vitanzi vyote vikaelekeana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya matanzi hamsini katika pazia moja, na matanzi hamsini katika upindo wa pazia lililokuwa katika kiungo cha pili; hayo matanzi yalikuwa yakabiliana hili na hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitia vitanzi hamsini katika pazia la kwanza la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini kwenye utepe wa pazia la pili; vitanzi vyote vilielekeana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akashona vitanzi hamsini katika kila pazia moja upande mmoja, na tena vitanzi hamsini katika upindo wa kila pazia la pili upande huo ulioungwa na pazia la kwanza; hivyo vitanzi vilielekeana kila kimoja na mwenzake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya matanzi hamsini katika pazia moja, na matanzi hamsini katika upindo wa pazia lililokuwa katika kiungo cha pili; hayo matanzi yalikuwa yakabiliana hili na hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitia kamba makuni tano katika pazia la kwanza la kipande cha kwanza na kamba makuni tano kwenye utepe wa pazia la pili. Kamba zote zilielekeana.