Exodus 36:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha alitengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia; hivyo, hema likawa kitu kimoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakatengeneza vifungo hamsini vya dhahabu, na wakavitumia kufunga na kuunganisha zile fungu mbili za mapazia pamoja ili maskani ya Mungu ipate kuwa kitu kimoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya vifungo hamsini vya dhahabu, na kuyaunganya hayo mapazia hili na hili kwa vile vifungo; hivi ile maskani ilikuwa ni moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha alitengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia; hivyo, hema likawa kitu kimoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakatengeneza vibanio hamsini vya dhahabu, na wakavitumia kufunga na kuunganisha vile vipande viwili vya pazia pamoja ili maskani ipate kuwa kitu kimoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakatengeneza vifungo hamsini vya dhahabu, na wakavitumia kufunga na kuunganisha zile fungu mbili za mapazia pamoja ili maskani ipate kuwa kitu kimoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya vifungo hamsini vya dhahabu, na kuyaunganisha hayo mapazia hili na hili kwa vile vifungo; hivi ile maskani ilikuwa ni moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha alitengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia; hivyo, hema likawa kitu kimoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akafanya vifungo vya dhahabu hamsini, apate kuyafunga mapazia kila moja na mwenzake; kwa hivyo vifungo Kao likapata kuwa moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya vifungo hamsini vya dhahabu, na kuyaunganya hayo mapazia hili na hili kwa vile vifungo; hivi ile maskani ilikuwa ni moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akatengeneza vifungio makuni tano vya zahabu kwa kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, hivyo hema likakuwa kitu kimoja.