Exodus 36:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha alitengeneza pia kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika Maskani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya vifuniko vya singa za mbuzi kuwa hema ya kuifunika hiyo maskani; akafanya mapazia kumi na moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha alitengeneza pia kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya hema juu ya maskani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya vifuniko vya singa za mbuzi kuwa hema ya kuifunika hiyo maskani; akafanya mapazia kumi na moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha alitengeneza pia kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akafanya mapazia ya nywele za mbuzi kuwa hema juu ya Kao lenyewe, akatengeneza mapazia kumi na moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya vifuniko vya singa za mbuzi kuwa hema ya kuifunika hiyo maskani; akafanya mapazia kumi na moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha alitengeneza vilevile kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.