Exodus 36:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila pazia lilikuwa na urefu wa mita 13, na upana wa mita 2. Mapazia yote 11 yalikuwa ya kipimo kilekile.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mapazia hayo kumi na moja yalikuwa na kipimo sawa, yaani urefu wa dhiraa thelathini, na upana wa dhiraa nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; hayo mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kimoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila pazia lilikuwa na urefu wa mita 13, na upana wa mita 2. Mapazia yote 11 yalikuwa ya kipimo kilekile.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mapazia yote kumi na moja yalikuwa yamelingana, urefu wa dhiraa thelathini na upana wa dhiraa nne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mapazia hayo kumi na moja yalikuwa na kipimo kimoja, yaani urefu wa dhiraa thelathini, na upana wa dhiraa nne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; hayo mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kimoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila pazia lilikuwa na urefu wa mita 13, na upana wa mita 2. Mapazia yote 11 yalikuwa ya kipimo kilekile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Urefu a kila pazia moja ulikuwa mikono thelathini, nao upana wa kila pazia moja ulikuwa mikono minne; hiki kipimo kimoja kilikuwa chao mapazia yote kumi na moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; hayo mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kimoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila pazia lilikuwa na urefu wa metre kumi na tatu na upana wa metre mbili. Mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kilekile.