Exodus 36:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akayaunganisha mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaunganisha mapazia matano kuwa fungu moja, na hayo mengine sita kuwa fungu lingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaunganya mapazia matano mbali, na mapazia sita mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akayaunganisha mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaunganisha mapazia matano pamoja na yale mengine sita pamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaunganisha mapazia matano kuwa fungu moja, na hayo mengine sita kuwa fungu lingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaunganisha mapazia matano mbali, na mapazia sita mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akayaunganisha mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akayaunga mapazia matano kuwa moja, nayo yale sita akayaunga kuwa moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaunganya mapazia matano mbali, na mapazia sita mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, akaunganisha mapazia matano pamoja na mapazia sita pamoja.