Exodus 36:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha alifanya vitanzi hamsini upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini upindoni mwa kipande cha pili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakatengeneza vitanzi hamsini kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu moja, na vivyo hivyo kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu hilo lingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya matanzi hamsini katika upindo wa pazia lililo upande wa nje katika kile kiungo, naye akafanya matanzi hamsini katika ncha ya pazia lililokuwa upande wa nje katika kiungo cha pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha alifanya vitanzi hamsini upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini upindoni mwa kipande cha pili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakatengeneza vitanzi hamsini kwenye upindo wa pazia la mwishoni la kipande cha kwanza, na vivyo hivyo kwenye upindo wa pazia la mwishoni la kipande cha pili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakatengeneza vitanzi hamsini kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu moja, na vivyo hivyo kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu hilo lingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya matanzi hamsini katika upindo wa pazia lililo upande wa nje katika kile kiungo, naye akafanya matanzi hamsini katika ncha ya pazia lililokuwa upande wa nje katika kiungo cha pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha alifanya vitanzi hamsini upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini upindoni mwa kipande cha pili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akashona vitanzi hamsini katika upindo wa nje wa kila pazia moja hapo, lilipoungwa na jingine; tena akashona vitanzi hamsini katika upindo wa nje wa kila pazia la pili hapo, lilipoungwa nalo la kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya matanzi hamsini katika upindo wa pazia lililo upande wa nje katika kile kiungo, naye akafanya matanzi hamsini katika ncha ya pazia lililokuwa upande wa nje katika kiungo cha pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akafanya kamba makuni tano kwenye upindo wa pazia la mwisho la kipande cha kwanza na kamba makuni tano kwenye upindo wa kipande cha pili.