Exodus 36:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu akatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, na hivyo kufanya pazia moja la hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya vifungo hamsini vya shaba aiunganye ile hema pamoja, ili iwe hema moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu akatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, na hivyo kufanya pazia moja la hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatengeneza vibanio hamsini vya shaba ili kulikaza hema pamoja kuwa kitu kimoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya vifungo hamsini vya shaba aiunganishe ile hema pamoja, ili iwe hema moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu akatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, na hivyo kufanya pazia moja la hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akafanya vifungo vya shaba hamsini vya kuliungia hilo hema, liwe moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya vifungo hamsini vya shaba aiunganye ile hema pamoja, ili iwe hema moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akatengeneza vifungio makuni tano vya shaba kwa kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia na hivyo kufanya pazia moja la hema.