Exodus 36:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha alitengeneza kifuniko cha ngozi laini ya kondoo dume, na juu yake kifuniko kingine cha ngozi laini ya mbuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakatengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya kifuniko kwa ajili ya hiyo hema cha ngozi za kondoo waume zilizotiwa rangi nyekundu; tena juu yake akafanya kifuniko cha ngozi za pomboo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha alitengeneza kifuniko cha ngozi laini ya kondoo dume, na juu yake kifuniko kingine cha ngozi laini ya mbuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakatengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo waume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi laini za wanyama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakatengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya kifuniko kwa ajili ya hiyo hema cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu; tena juu yake akafanya kifuniko cha ngozi za pomboo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha alitengeneza kifuniko cha ngozi laini ya kondoo dume, na juu yake kifuniko kingine cha ngozi laini ya mbuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza chandalua cha hema kwa ngozi nyekundu za madume ya kondoo, tena akatengneza chandalua cha pili kwa ngozi za pomboo kuwa juu yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya kifuniko kwa ajili ya hiyo hema cha ngozi za kondoo waume zilizotiwa rangi nyekundu; tena juu yake akafanya kifuniko cha ngozi za pomboo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akatengeneza kifuniko cha ngozi laini ya kondoo dume na juu yake kifuniko kingine cha ngozi laini ya mbuzi.