Exodus 36:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu akalitengenezea hema mbao za mjohoro za kusimama wima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya mbao za mti wa mshita kwa hiyo maskani, zilizosimama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu akalitengenezea hema mbao za mjohoro za kusimama wima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya mbao za mti wa mshita kwa hiyo maskani, zilizosimama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu akalitengenezea hema mbao za mjohoro za kusimama wima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza mbao za Kao lenyewe za migunga zilizosimama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya mbao za mti wa mshita kwa hiyo maskani, zilizosimama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akatengenezea hema mbao za mujohoro za kusimama wima.