Exodus 36:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila ubao ulikuwa na urefu wa mita 4 na upana wa sentimita 66.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mhimili ulikuwa na urefu wa dhiraa kumi, na upana wa dhiraa moja na nusu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Urefu wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa kumi, na upana wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa moja na nusu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila ubao ulikuwa na urefu wa mita 4 na upana wa sentimita 66.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mhimili ulikuwa na urefu wa dhiraa kumi na upana wa dhiraa moja na nusu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mhimili ulikuwa na urefu wa dhiraa kumi, na upana wa dhiraa moja na nusu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Urefu wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa kumi, na upana wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa moja na nusu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila ubao ulikuwa na urefu wa mita 4 na upana wa sentimita 66.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Urefu wa kila ubao ulikuwa mikono kumi, nao upana wake kila ubao mmoja ulikuwa mkono mmoja na nusu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Urefu wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa kumi, na upana wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa moja na nusu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila ubao ulikuwa na urefu wa metre ine na upana wa sentimetre makumi sita na sita.