Exodus 36:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Mbao zote za hema alizifanyia ndimi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
zikiwa na ndimi mbili zilizokuwa sambamba kila mmoja na mwingine. Wakatengeneza mihimili yote ya Maskani jinsi hii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili, zilizounganywa pamoja; ndivyo alivyozifanya hizo mbao zote za maskani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Mbao zote za hema alizifanyia ndimi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
zikiwa na ndimi mbili kila mmoja sambamba na mwingine. Wakatengeneza mihimili yote ya maskani kwa njia hii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
zikiwa na ndimi mbili zilizokuwa sambamba kila mmoja na mwingine. Wakatengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili, zilizounganishwa pamoja; ndivyo alivyozifanya hizo mbao zote za maskani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Mbao zote za hema alizifanyia ndimi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila ubao mmoja ulikuwa na vigerezi viwili, navyo vilitazamana kila kimoja na mwenzake. Vivyo hivyo akavitengeneza kila ubao mmoja wa Kao lenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili, zilizounganywa pamoja; ndivyo alivyozifanya hizo mbao zote za maskani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Mbao zote za hema alizifanyia ndimi.