Exodus 36:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbao hizo za hema zilitengenezwa hivi: Mbao ishirini upande wa kusini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa Maskani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akazifanya hizo mbao kwa ajili ya hiyo maskani; mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbao hizo za hema zilitengenezwa hivi: mbao ishirini upande wa kusini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akazifanya hizo mbao kwa ajili ya hiyo maskani; mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbao hizo za hema zilitengenezwa hivi: Mbao ishirini upande wa kusini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akazitengeneza hizo mbao za Kao lenyewe kuwa ishirini upande wa kusini, ndio upande wa juani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akazifanya hizo mbao kwa ajili ya hiyo maskani; mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbao hizo za hema zilitengenezwa hivi: mbao makumi mbili upande wa kusini,