Exodus 36:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na vikalio arubaini vya fedha chini ya hizo mbao 20; vikalio viwili chini ya kila ubao ili kushikilia zile ndimi zake mbili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wakatengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye akafanya matako ya fedha arobaini yawe chini ya hizo mbao ishirini; matako mawili chini ya ubao mmoja kwa hizo ndimi zake mbili, na matako mawili chini ya ubao mwingine kwa ndimi zake mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na vikalio arubaini vya fedha chini ya hizo mbao 20; vikalio viwili chini ya kila ubao ili kushikilia zile ndimi zake mbili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wakatengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuwekwa chini yake, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wakatengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye akafanya vitako vya fedha arobaini viwe chini ya hizo mbao ishirini; vitako viwili chini ya ubao mmoja kwa hizo ndimi zake mbili, na vitako viwili chini ya ubao mwingine kwa ndimi zake mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na vikalio arubaini vya fedha chini ya hizo mbao 20; vikalio viwili chini ya kila ubao ili kushikilia zile ndimi zake mbili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chini ya hizi mbao ishirini akatengeneza viguu vya fedha arobaini, vikawa viguu viwili chini ya kila ubao mmoja vya kuvitilia vigerezi vyake viwili, vivyo hivyo chini ya kila ubao mmoja viguu viwili vya kuvitilia vigerezi vyake viwili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye akafanya matako ya fedha arobaini yawe chini ya hizo mbao ishirini; matako mawili chini ya ubao mmoja kwa hizo ndimi zake mbili, na matako mawili chini ya ubao mwingine kwa ndimi zake mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na vikalio makumi ine vya feza chini ya hizo mbao makumi mbili, vikalio viwili chini ya kila ubao kwa kushikilia zile ndimi zake mbili.