Exodus 36:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na upande wa pili, yaani kaskazini mwa hema, alitengeneza pia mbao ishirini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa upande wa kaskazini wa Maskani wakatengeneza mihimili ishirini
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa upande wa pili wa maskani upande wa kaskazini, akafanya mbao ishirini,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na upande wa pili, yaani kaskazini mwa hema, alitengeneza pia mbao ishirini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa upande wa kaskazini wa maskani wakatengeneza mihimili ishirini
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa upande wa kaskazini wa maskani wakatengeneza mihimili ishirini
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa upande wa pili wa maskani upande wa kaskazini, akafanya mbao ishirini,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na upande wa pili, yaani kaskazini mwa hema, alitengeneza pia mbao ishirini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata upande wa pili wa Kao, ndio upande wa kaskazini, akatengeneza vilevile mbao ishirini,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa upande wa pili wa maskani upande wa kaskazini, akafanya mbao ishirini,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na upande wa pili, ni kusema upande wa kaskazini wa hema, alitengeneza vilevile mbao makumi mbili,