Exodus 36:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na vikalio vyake arubaini vya fedha; vikalio viwili chini ya kila ubao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na matako yake ya fedha arobaini; matako mawili chini ya ubao mmoja, na matako mawili chini ya ubao mwingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na vikalio vyake arubaini vya fedha; vikalio viwili chini ya kila ubao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na vitako arobaini vya shaba, viwili chini ya kila mhimili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na vitako vyake vya fedha arobaini; vitako viwili chini ya ubao mmoja, na vitako viwili chini ya ubao mwingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na vikalio vyake arubaini vya fedha; vikalio viwili chini ya kila ubao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na viguu arobaini vya fedha, viguu viwili chini ya kila ubao mmoja, vivyo hivyo viwili chini ya kila ubao mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na matako yake ya fedha arobaini; matako mawili chini ya ubao mmoja, na matako mawili chini ya ubao mwingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na vikalio vyake makumi ine vya feza; vikalio viwili chini ya kila ubao.