Exodus 36:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upande wa nyuma, yaani magharibi mwa hema, alitengeneza mbao sita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa Maskani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa upande wa nyuma wa hiyo maskani kuelekea magharibi akafanya mbao sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upande wa nyuma, yaani magharibi mwa hema, alitengeneza mbao sita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatengeneza mihimili sita kwa ajili ya upande wa mwisho, yaani upande wa magharibi wa maskani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa upande wa nyuma wa hiyo maskani kuelekea magharibi akafanya mbao sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upande wa nyuma, yaani magharibi mwa hema, alitengeneza mbao sita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini upande wa nyuma wa Kao unaoelekea baharini akatengeneza mbao sita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa upande wa nyuma wa hiyo maskani kuelekea magharibi akafanya mbao sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upande wa nyuma, ni kusema upande wa magaribi wa hema, alitengeneza mbao sita.