Exodus 36:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na mihimili miwili ikatengenezwa kwa ajili ya pembe za Maskani za upande uliokuwa mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akafanya mbao mbili kwa pembe za maskani upande wa nyuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na mihimili miwili ikatengenezwa kwa ajili ya pembe za maskani za upande wa mwisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na mihimili miwili ikatengenezwa kwa ajili ya pembe za maskani za upande uliokuwa mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akafanya mbao mbili kwa pembe za maskani upande wa nyuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena akatengeneza mbao mbili za pembeni mle Kaoni upande wa nyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akafanya mbao mbili kwa pembe za maskani upande wa nyuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitengeneza vilevile mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.