Exodus 36:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wakapokea kutoka kwa Mose vitu vyote vilivyotolewa na Waisraeli kwa hiari kwa ajili ya kazi ya hema takatifu. Watu waliendelea kumletea michango yao ya hiari kila asubuhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakapokea kutoka kwa Musa sadaka zote ambazo Waisraeli walikuwa wameleta ili kuifanya kazi ya ujenzi wa Mahali Patakatifu. Nao watu wakaendelea kuleta sadaka za hiari kila asubuhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wakapokea mkononi mwa Musa matoleo yote, ambayo hao wana wa Israeli walikuwa wameyaleta kwa ajili ya huo utumishi wa mahali patakatifu, ili wapafanye. Kisha wakamletea matoleo kila siku asubuhi kwa moyo wa kupenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wakapokea kutoka kwa Mose vitu vyote vilivyotolewa na Waisraeli kwa hiari kwa ajili ya kazi ya hema takatifu. Watu waliendelea kumletea michango yao ya hiari kila asubuhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakapokea kutoka kwa Mose sadaka zote ambazo Waisraeli walikuwa wameleta ili kuifanya kazi ya ujenzi wa Mahali Patakatifu. Nao watu wakaendelea kuleta sadaka za hiari kila asubuhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakapokea kutoka kwa Musa sadaka zote ambazo Waisraeli walikuwa wameleta ili kuifanya kazi ya ujenzi wa Mahali Patakatifu. Nao watu wakaendelea kuleta sadaka za hiari kila asubuhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wakapokea mkononi mwa Musa matoleo yote, ambayo hao wana wa Israeli walikuwa wameyaleta kwa ajili ya huo utumishi wa mahali patakatifu, ili wapatengeneze. Kisha wakamletea matoleo kila siku asubuhi kwa moyo wa kupenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wakapokea kutoka kwa Mose vitu vyote vilivyotolewa na Waisraeli kwa hiari kwa ajili ya kazi ya hema takatifu. Watu waliendelea kumletea michango yao ya hiari kila asubuhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakachukua kwake Mose vipaji vyote vya tambiko, wana wa Isiraeli walivyovitoa vya kazi za utumishi wa Patakatifu, zipate kufanyika; nao walikuwa wakileta bado kwake vipaji, walivyovitoa kwa kupendezwa tu kila kulipokucha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wakapokea mkononi mwa Musa matoleo yote, ambayo hao wana wa Israeli walikuwa wameyaleta kwa ajili ya huo utumishi wa mahali patakatifu, ili wapafanye. Kisha wakamletea matoleo kila siku asubuhi kwa moyo wa kupenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wakapokea kutoka kwa Musa vitu vyote vilivyotolewa na Waisraeli kwa mapenzi yao kwa ajili ya kazi ya hema takatifu. Watu waliendelea kumuletea michango yao kufuatana na mapenzi yao kila asubui.