Exodus 36:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo kulikuwa na mbao nane na vikalio vyake vya fedha kumi na sita, vikalio viwili chini ya kila ubao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo kulikuwa na mihimili nane, na vitako kumi na sita vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo zilikuwa mbao nane, na matako yake ya fedha, matako kumi na sita, matako mawili chini ya kila ubao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo kulikuwa na mbao nane na vikalio vyake vya fedha kumi na sita, vikalio viwili chini ya kila ubao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo kulikuwa na mihimili minane na vitako kumi na sita vya fedha, viwili chini ya kila kizingiti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo kulikuwa na mihimili minane, na vitako kumi na sita vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo zilikuwa mbao nane, na vitako vyake vya fedha, vitako kumi na sita, vitako viwili chini ya kila ubao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo kulikuwa na mbao nane na vikalio vyake vya fedha kumi na sita, vikalio viwili chini ya kila ubao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo zote pamoja zilikuwa mbao nane, navyo viguu vya fedha vilikuwa kumi na sita, viguu viwili chini ya kila ubao mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo zilikuwa mbao nane, na matako yake ya fedha, matako kumi na sita, matako mawili chini ya kila ubao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo kulikuwa mbao nane na vikalio vyake vya feza kumi na sita, vikalio viwili chini ya kila ubao.