Exodus 36:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza pia pau za mjohoro: Pau tano kwa ajili ya mbao za upande mmoja wa hema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatengeneza pia mataruma kwa mti wa mshita: matano kwa ajili ya mihimili ya upande mmoja wa Maskani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya mataruma ya miti ya mshita; matano kwa mbao za upande mmoja wa maskani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza pia pau za mjohoro: pau tano kwa ajili ya mbao za upande mmoja wa hema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatengeneza pia mataruma kwa mti wa mshita: matano kwa ajili ya mihimili ya upande mmoja wa maskani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatengeneza pia mataruma kwa mti wa mshita: matano kwa ajili ya mihimili ya upande mmoja wa maskani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya mataruma ya miti ya mshita; matano kwa mbao za upande mmoja wa maskani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza pia pau za mjohoro: Pau tano kwa ajili ya mbao za upande mmoja wa hema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza misunguo ya migunga, mitano ya mbao za upande mmoja wa Kao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya mataruma ya miti ya mshita; matano kwa mbao za upande mmoja wa maskani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitengeneza vilevile miti ya mujohoro: miti tano kwa ajili ya mbao za upande mumoja wa hema,