Exodus 36:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pau tano kwa ajili ya upande wa pili wa hema, na pau tano kwa ajili ya mbao za upande wa nyuma wa hema, ulio magharibi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
matano kwa ajili ya mihimili ya upande mwingine, na matano kwa ajili mihimili ya upande wa magharibi, mwisho kabisa mwa Maskani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mataruma matano kwa mbao za upande wa pili wa maskani, na mataruma matano kwa hizo mbao za maskani zilizokuwa upande wa nyuma kuelekea magharibi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pau tano kwa ajili ya upande wa pili wa hema, na pau tano kwa ajili ya mbao za upande wa nyuma wa hema, ulio magharibi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
matano kwa ajili ya yale yaliyo upande mwingine, na matano kwa ajili ya upande wa magharibi, mwisho kabisa wa maskani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
matano kwa ajili ya mihimili ya upande mwingine, na matano kwa ajili mihimili ya upande wa magharibi, mwisho kabisa mwa maskani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mataruma matano kwa mbao za upande wa pili wa maskani, na mataruma matano kwa hizo mbao za maskani zilizokuwa upande wa nyuma kuelekea magharibi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pau tano kwa ajili ya upande wa pili wa hema, na pau tano kwa ajili ya mbao za upande wa nyuma wa hema, ulio magharibi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena misunguo mitano ya mbao za upande wa pili wa Kao, tena misunguo mitano ya mbao za upande wa nyuma wa Kao unaoelekea baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mataruma matano kwa mbao za upande wa pili wa maskani, na mataruma matano kwa hizo mbao za maskani zilizokuwa upande wa nyuma kuelekea magharibi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
miti tano kwa ajili ya upande wa pili wa hema, na miti tano kwa ajili ya mbao za upande wa nyuma wa hema uliokuwa upande wa magaribi.