Exodus 36:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza upau wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema ambao ulipenya katikati kutoka mwisho hadi mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatengeneza taruma la katikati, likapenya katikati ya mihimili kutoka mwisho mmoja hadi mwisho mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akalifanya hilo taruma la katikati lipenye kati ya hizo mbao kutoka upande huu hata upande huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza upau wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema ambao ulipenya katikati kutoka mwisho hadi mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatengeneza taruma la katikati, likapenya katikati ya mihimili kutoka upande mmoja hadi mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatengeneza taruma la katikati, likapenya katikati ya mihimili kutoka mwisho mmoja hadi mwisho mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akalifanya hilo taruma la katikati lipenye kati ya hizo mbao kutoka upande huu hata upande huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza upau wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema ambao ulipenya katikati kutoka mwisho hadi mwisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza msunguo wa katikati, upite katikati ya mbao toka mwisho wa huku hata mwisho wa huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akalifanya hilo taruma la katikati lipenye kati ya hizo mbao kutoka upande huu hata upande huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitengeneza muti wa katikati uliofika nusu ya jengo la hema ambao ulipenya katikati kutoka mwisho mpaka mwisho.