Exodus 36:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbao zote alizipaka dhahabu, akazitengeneza na pete za dhahabu za kushikilia pau hizo ambazo pia alizipaka dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaifunika hiyo mihimili kwa dhahabu, na wakatengeneza pete za dhahabu za kushikilia hayo mataruma. Pia wakayafunika hayo mataruma kwa dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akazifunika hizo mbao dhahabu, akazifanya zile pete zake za dhahabu ziwe mahali pa hayo mataruma, akayafunika dhahabu hayo mataruma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbao zote alizipaka dhahabu, akazitengeneza na pete za dhahabu za kushikilia pau hizo ambazo pia alizipaka dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaifunika hiyo mihimili kwa dhahabu, na wakatengeneza pete za dhahabu za kushikilia hayo mataruma. Pia wakayafunika yale mataruma kwa dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaifunika hiyo mihimili kwa dhahabu, na wakatengeneza pete za dhahabu za kushikilia hayo mataruma. Pia wakayafunika hayo mataruma kwa dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akazifunika hizo mbao dhahabu, akazifanya zile pete zake za dhahabu ziwe mahali pa hayo mataruma, akayafunika dhahabu hayo mataruma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbao zote alizipaka dhahabu, akazitengeneza na pete za dhahabu za kushikilia pau hizo ambazo pia alizipaka dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo mbao akazifunikiza dhahabu, nayo mapete yao akayatengeneza kwa dhahabu, yalikuwa ya kutilia misunguo, nayo misunguo akaifunikiza dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akazifunika hizo mbao dhahabu, akazifanya zile pete zake za dhahabu ziwe mahali pa hayo mataruma, akayafunika dhahabu hayo mataruma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbao zote alizipakaa zahabu, akatengeneza na pete za zahabu za kushikilia miti ile ambayo vilevile aliipakaa zahabu.