Exodus 36:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kadhalika, kwa ajili ya mlango wa hema, alitengeneza pazia kwa nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa, nalo pazia lilitariziwa vizuri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya ingilio la hema wakatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu na kitani safi iliyosokotwa vizuri, kazi ya mtarizi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya pazia la sitara kwa ajili ya mlango wa Hema, la nguo ya rangi ya samawi, na ya rangi ya zambarau, na nyekundu, na nguo ya kitani nzuri ya kusokotwa, kazi ya mwenye kutia taraza,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kadhalika, kwa ajili ya mlango wa hema, alitengeneza pazia kwa nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa, nalo pazia lilitariziwa vizuri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya ingilio la hema wakatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu na kitani iliyosokotwa vizuri, kazi ya mtarizi;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya ingilio la hema wakatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu na kitani safi iliyosokotwa vizuri, kazi ya mtarizi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya pazia la sitara kwa ajili ya mlango wa Hema, la nguo ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na nguo ya kitani nzuri ya kusokotwa, kazi ya mwenye kutia taraza,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kadhalika, kwa ajili ya mlango wa hema, alitengeneza pazia kwa nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa, nalo pazia lilitariziwa vizuri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo hapo pa kuliingilia Hema akaweka guo kubwa lililotengenezwa kwa nguo za kifalme nyeusi na nyekundu na kwa nguo za bafta ngumu; nalo lilifumwa na mtu aliyejua kweli kufuma kwa nyuzi za rangi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya pazia la sitara kwa ajili ya mlango wa Hema, la nguo ya rangi ya samawi, na ya rangi ya zambarau, na nyekundu, na nguo ya kitani nzuri ya kusokotwa, kazi ya mwenye kutia taraza,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, kwa ajili ya mulango wa hema, alitengeneza pazia kwa nyuzi za rangi ya samawi, zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa, nalo pazia lilipambwa vizuri,