Exodus 36:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na nguzo zake tano zikiwa na kulabu. Matumba yake na vifungo vyake alivipaka dhahabu, lakini vikalio vyake vitano vilikuwa vya shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia wakatengeneza nguzo tano zenye kulabu. Wakafunika ncha za juu za hizo nguzo pamoja na tepe zake kwa dhahabu, na pia wakatengeneza vitako vyake vitano vya shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na nguzo zake tano pamoja na kulabu zake; naye akavifunika dhahabu vichwa vyake na vifungo vyake; na matako yake matano yalikuwa ya shaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na nguzo zake tano zikiwa na kulabu. Matumba yake na vifungo vyake alivipaka dhahabu, lakini vikalio vyake vitano vilikuwa vya shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pia wakatengeneza nguzo tano zenye kulabu. Wakafunika ncha za juu za hizo nguzo kwa dhahabu pamoja na tepe zake, pia wakatengeneza vitako vyake vitano vya shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia wakatengeneza nguzo tano zenye kulabu. Wakafunika ncha za juu za hizo nguzo pamoja na tepe zake kwa dhahabu, na pia wakatengeneza vitako vyake vitano vya shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na nguzo zake tano pamoja na kulabu zake; naye akavifunika dhahabu vichwa vyake na vifungo vyake; na vitako vyake vitano vilikuwa ya shaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na nguzo zake tano zikiwa na kulabu. Matumba yake na vifungo vyake alivipaka dhahabu, lakini vikalio vyake vitano vilikuwa vya shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akalitengenezea nguzo tano zenye vifungo vyao. Kisha akazifunikiza dhahabu pamoja na vichwa vyao na vijiti vyao vya kuziungia, lakini miguu yao mitano ilikuwa ya shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na nguzo zake tano pamoja na kulabu zake; naye akavifunika dhahabu vichwa vyake na vifungo vyake; na matako yake matano yalikuwa ya shaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na nguzo zake tano zikiwa na vifungio. Chongo zake na vyuma vyake alivipakaa zahabu, lakini vikalio vyake vitano vilikuwa vya shaba.