Exodus 36:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose na kumwambia, “Watu wameleta vitu vingi zaidi ya vile vinavyohitajiwa kwa kazi aliyotuagiza Mwenyezi-Mungu tuifanye.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakaja na kumwambia Musa, “Watu wanaleta vitu vingi kuliko tunavyohitaji kwa ajili ya kazi hii ambayo Mwenyezi Mungu ameagiza ifanyike.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wakasema na Musa, na kumwambia, Watu waleta vitu vingi sana zaidi ya hivyo vitoshavyo kwa ajili ya utumishi wa hiyo kazi, ambayo Bwana aliagiza ifanywe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose na kumwambia, “Watu wameleta vitu vingi zaidi ya vile vinavyohitajiwa kwa kazi aliyotuagiza Mwenyezi-Mungu tuifanye.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kuja kumwambia Mose, “Watu wanaleta zaidi kuliko mahitaji kwa ajili ya kazi hii ambayo BWANA ameagiza ifanyike.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakaja na kumwambia Musa, “Watu wanaleta vitu vingi kuliko tunavyohitaji kwa ajili ya kazi hii ambayo bwana ameagiza ifanyike.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wakasema na Musa, na kumwambia, Watu waleta vitu vingi sana zaidi ya hivyo vitoshavyo kwa ajili ya utumishi wa hiyo kazi, ambayo BWANA aliagiza ifanywe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose na kumwambia, “Watu wameleta vitu vingi zaidi ya vile vinavyohitajiwa kwa kazi aliyotuagiza Mwenyezi-Mungu tuifanye.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamwambia Mose kwamba: Watu wanaleta mengi zaidi kabisa kuliko yanayotakiwa ya kuzimaliza hizo kazi, Bwana alizoagiza kuzifanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wakasema na Musa, na kumwambia, Watu waleta vitu vingi sana zaidi ya hivyo vitoshavyo kwa ajili ya utumishi wa hiyo kazi, ambayo BWANA aliagiza ifanywe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa na kumwambia: Watu wameleta vitu vingi zaidi ya vile vinavyohitajiwa kwa kazi Yawe aliyotuagiza tufanye.