Exodus 36:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana vile walivyokuwa wameleta vilitosha kwa kazi hiyo na kubaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu walivyokuwa navyo tayari vilitosha na kuzidi kuifanya kazi yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani vile vitu walivyokuwa navyo vilikuwa vyatosha kwa kuifanya kazi hiyo yote, kisha vilizidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana vile walivyokuwa wameleta vilitosha kwa kazi hiyo na kubaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu walivyokuwa navyo tayari vilitosha na kuzidi kuifanya kazi yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu walivyokuwa navyo tayari vilitosha na kuzidi kuifanya kazi yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani vile vitu walivyokuwa navyo vilikuwa vyatosha kwa kuifanya kazi hiyo yote, kisha vilizidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana vile walivyokuwa wameleta vilitosha kwa kazi hiyo na kubaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo yaliyokuwapo hapo ya kuzifanya hizo kazi yakatosha kabisa kuzifanya hizo kazi zote pia, tena yakasalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani vile vitu walivyokuwa navyo vilikuwa vyatosha kwa kuifanya kazi hiyo yote, kisha vilizidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)