Exodus 36:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Urefu wa kila pazia ulikuwa mita 12 na upana mita 2. Mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mapazia yote yalitoshana kwa ukubwa: kila moja lilikuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane, na upana wa dhiraa nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa ishirini na nane, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Urefu wa kila pazia ulikuwa mita 12 na upana mita 2. Mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mapazia yote yalikuwa yamelingana: kila moja lilikuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane na upana wa dhiraa nne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mapazia yote yalitoshana kwa ukubwa: kila moja lilikuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane, na upana wa dhiraa nne
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa ishirini na nane, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Urefu wa kila pazia ulikuwa mita 12 na upana mita 2. Mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Urefu wa pazia moja ulikuwa mikono ishirini na minane, nao upana wake ulikuwa mikono minne, kila pazia moja lilikuwa lenye kipimo hiki kimoja, kilikuwa cha mapazia yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa ishirini na nane, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Urefu wa kila pazia ulikuwa metre kumi na mbili na upana metre mbili. Mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja.