Exodus 37:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile alitengeneza meza ya mjohoro yenye urefu wa sentimita 88, upana sentimita 44, na kimo chake sentimita 66.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili, upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya hiyo meza ya mti wa mshita; urefu wake ulikuwa ni dhiraa mbili, na upana wake ulikuwa ni dhiraa moja, na kwenda juu kwake kulikuwa ni dhiraa moja na nusu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile alitengeneza meza ya mjohoro yenye urefu wa sentimita 88, upana sentimita 44, na kimo chake sentimita 66.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza meza ya mbao za mshita urefu wake dhiraa mbili, upana wake dhiraa moja na kimo chake dhiraa moja na nusu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili, upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya hiyo meza ya mti wa mshita; urefu wake ulikuwa ni dhiraa mbili, na upana wake ulikuwa ni dhiraa moja, na kwenda juu kwake kulikuwa ni dhiraa moja na nusu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile alitengeneza meza ya mjohoro yenye urefu wa sentimita 88, upana sentimita 44, na kimo chake sentimita 66.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza meza kwa mbao za migunga, urefu wake ulikuwa mikono miwili, nao upana wake ulikuwa mkono mmoja, nao urefu wake wa kwenda juu ulikuwa mkono mmoja na nusu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya hiyo meza ya mti wa mshita; urefu wake ulikuwa ni dhiraa mbili, na upana wake ulikuwa ni dhiraa moja, na kwenda juu kwake kulikuwa ni dhiraa moja na nusu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile akatengeneza meza ya mujohoro yenye urefu wa sentimetre makumi nane na nane, upana sentimetre makumi ine na ine, na urefu kwenda juu sentimetre makumi sita na sita.