Exodus 37:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliizungushia mviringo wa ubao wenye upana wa milimita 75, na kuifanyia ukingo wa dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akatengeneza upapi wenye upana wa nyanda moja, na kuufanyia ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaifanyia upapi wa upana wa shibiri kuizunguka pande zote, akauzungushia ukingo wa urembo wa dhahabu ule upapi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliizungushia mviringo wa ubao wenye upana wa milimita 75, na kuifanyia ukingo wa dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akatengeneza upapi wenye upana wa nyanda nne kuizunguka ile meza na kuuweka ukingo wa dhahabu juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akatengeneza upapi wenye upana wa nyanda nne, na kuufanyia ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akaifanyia upapi wa upana wa shibiri kuizunguka pande zote, akauzungushia ukingo wa urembo wa dhahabu ule upapi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliizungushia mviringo wa ubao wenye upana wa milimita 75, na kuifanyia ukingo wa dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akazungusha kando yake kibao cha kukingia chenye upana wa shibiri, nacho hicho kikingio akakizungushia taji ya dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaifanyia upapi wa upana wa shibiri kuizunguka pande zote, akauzungushia ukingo wa urembo wa dhahabu ule upapi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaizungushia ubao wenye upana wa milimetre makumi saba na tano, na kuifanyia ukingo wa zahabu.