Exodus 37:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliitengenezea pete nne za dhahabu na kuzitia katika pembe zake nne mahali miguu ilipoishia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasubu pete nne za dhahabu kwa ajili ya meza hiyo, na kuzifungia kwenye pembe nne, pale penye miguu yake minne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akasubu vikuku vinne vya dhahabu kwa ajili yake, akavitia vile vikuku katika pembe nne, katika miguu yake minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliitengenezea pete nne za dhahabu na kuzitia katika pembe zake nne mahali miguu ilipoishia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasubu pete nne za dhahabu kwa ajili ya ile meza na kuzifungia kwenye pembe zake nne, pale penye miguu minne ya meza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasubu pete nne za dhahabu kwa ajili ya meza hiyo, na kuzifungia kwenye pembe nne, pale penye miguu yake minne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akasubu vikuku vinne vya dhahabu kwa ajili yake, akavitia vile vikuku katika pembe nne, katika miguu yake minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliitengenezea pete nne za dhahabu na kuzitia katika pembe zake nne mahali miguu ilipoishia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaitengenezea mapete manne kwa kuyeyusha dhahabu, nayo hayo mapete akayatia penye pembe zake nne zilizokuwa penye miguu yake minne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akasubu vikuku vinne vya dhahabu kwa ajili yake, akavitia vile vikuku katika pembe nne, katika miguu yake minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaitengenezea pete ine za zahabu na kuzitia katika pembe zake ine pahali miguu ilipoishia.