Exodus 37:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pete hizo za kushikilia ile mipiko ya kulibebea ziliwekwa karibu na ule mviringo wa ubao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pete hizo ziliwekwa karibu na ukingo ule ili kuishikilia ile mipiko iliyotumika kuibebea hiyo meza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vile vikuku vilikuwa karibu na ule upapi, ili viwe mahali pa kutilia ile miti, ya kuichukulia meza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pete hizo za kushikilia ile mipiko ya kulibebea ziliwekwa karibu na ule mviringo wa ubao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pete hizo ziliwekwa karibu na ile duara ya upapi ili kuishikilia ile mipiko iliyotumika kuibebea hiyo meza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pete hizo ziliwekwa karibu na ukingo ule ili kuishikilia ile mipiko iliyotumika kuibebea hiyo meza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vile vikuku vilikuwa karibu na ule upapi, ili viwe mahali pa kutilia ile miti, ya kuichukulia meza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pete hizo za kushikilia ile mipiko ya kulibebea ziliwekwa karibu na ule mviringo wa ubao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo mapete yalikuwa papo hapo chini ya kikingio, wapate kutia humo mipiko ya kuichukulia hiyo meza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vile vikuku vilikuwa karibu na ule upapi, ili viwe mahali pa kutilia ile miti, ya kuichukulia meza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pete hizo za kushikilia ile miti ya kuibebea ziliwekwa karibu na ule muzunguko wa ubao.