Exodus 37:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza vyombo vya dhahabu safi vya kuweka juu ya meza: Sahani zake na visahani kwa ajili ya ubani, na bilauri zake na bakuli kwa ajili ya tambiko za kinywaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vyombo vyote vya mezani vilitengenezwa kwa dhahabu safi: yaani sahani zake, masinia, na bakuli na bilauri zake kwa ajili ya kumiminia sadaka za vinywaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha, vile vyombo vilivyokuwa juu ya meza, sahani zake, na miiko yake, na bakuli zake, na makopo yake ya kumiminia, akavifanya vya dhahabu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza vyombo vya dhahabu safi vya kuweka juu ya meza: sahani zake na visahani kwa ajili ya ubani, na bilauri zake na bakuli kwa ajili ya tambiko za kinywaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vyombo vyote vya mezani vilitengenezwa kwa dhahabu safi; yaani, sahani zake, masinia, mabakuli na magudulia kwa ajili ya kumiminia sadaka za kinywaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vyombo vyote vya mezani vilitengenezwa kwa dhahabu safi: yaani sahani zake, masinia, na bakuli na bilauri zake kwa ajili ya kumiminia sadaka za vinywaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha, vile vyombo vilivyokuwa juu ya meza, sahani zake, na miiko yake, na bakuli zake, na makopo yake ya kumiminia, akavifanya vya dhahabu safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza vyombo vya dhahabu safi vya kuweka juu ya meza: Sahani zake na visahani kwa ajili ya ubani, na bilauri zake na bakuli kwa ajili ya tambiko za kinywaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza vyombo vya kuweka hapo mezani: vyano vyake na vijiko vyake na vikombe vyake na vitungi vyake vinavyotumikia vinywaji vya tambiko; vyote vilikuwa dhahabu tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha, vile vyombo vilivyokuwa juu ya meza, sahani zake, na miiko yake, na bakuli zake, na makopo yake ya kumiminia, akavifanya vya dhahabu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza vyombo vya zahabu safi vya kuweka juu ya meza: sahani zake na visahani kwa ajili ya ubani, na bilauri zake na bakuli kwa ajili ya sadaka za kinywaji.