Exodus 37:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matawi sita yalitokeza kila upande wa ufito wake, matawi matatu upande mmoja na matawi matatu upande mwingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matawi sita yalitokeza kuanzia ule ufito wa katikati wa kinara cha taa: matawi matatu upande mmoja na matatu upande mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nacho kilikuwa na matawi sita yaliyotoka ubavuni mwake; matawi matatu ya kinara yalikuwa upande huu, na matawi matatu ya kinara yalikuwa upande huu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matawi sita yalitokeza kila upande wa ufito wake, matawi matatu upande mmoja na matawi matatu upande mwingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matawi sita yalijitokeza kwenye pande za kile kinara cha taa, matatu upande mmoja na matatu upande mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matawi sita yalitokeza kuanzia ule ufito wa katikati wa kinara cha taa: matawi matatu upande mmoja na matatu upande mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nacho kilikuwa na matawi sita yaliyotoka ubavuni mwake; matawi matatu ya kinara yalikuwa upande huu, na matawi matatu ya kinara yalikuwa upande huu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matawi sita yalitokeza kila upande wa ufito wake, matawi matatu upande mmoja na matawi matatu upande mwingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matawi sita yalitoka penye mbavu zake, matawi matatu ya kinara yalitoka penye ubavu mmoja, tena matawi matatu ya kinara yalitoka penye ubavu wa pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nacho kilikuwa na matawi sita yaliyotoka ubavuni mwake; matawi matatu ya kinara yalikuwa upande huu, na matawi matatu ya kinara yalikuwa upande huu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matawi sita yalitokeza kila upande wa muti wake, matawi matatu upande mumoja na matawi matatu upande mwingine.