Exodus 37:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika kila tawi kulikuwa na vikombe vitatu mfano wa maua ya mlozi, kila kimoja na tumba lake na ua lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vikombe vitatu vya mfano wa maua ya mlozi yenye matovu na maua vilikuwa katika tawi moja, vikombe vitatu katika tawi jingine, na vivyo hivyo kwa matawi yote sita yaliyotokeza kwenye kile kinara cha taa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
vikombe vitatu, vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi vilikuwa katika tawi moja, tovu na ua; na vikombe vitatu, vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi, katika tawi la pili, tovu na ua; yalikuwa ni vivyo hivyo yale matawi sita yaliyokuwa katika hicho kinara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika kila tawi kulikuwa na vikombe vitatu mfano wa maua ya mlozi, kila kimoja na tumba lake na ua lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vikombe vyenye muundo wa maua ya mlozi vikiwa na matovu na maua kwenye tawi moja, vitatu vilikuwa kwenye tawi lililofuata na yanayofanana na matawi yote sita yalitokeza kwenye kile kinara cha taa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vikombe vitatu vya mfano wa maua ya mlozi yenye matovu na maua vilikuwa katika tawi moja, vikombe vitatu katika tawi jingine, na vivyo hivyo kwa matawi yote sita yaliyotokeza kwenye kile kinara cha taa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
vikombe vitatu, vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi vilikuwa katika tawi moja, tovu na ua; na vikombe vitatu, vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi, katika tawi la pili, tovu na ua; yalikuwa ni vivyo hivyo yale matawi sita yaliyokuwa katika hicho kinara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika kila tawi kulikuwa na vikombe vitatu mfano wa maua ya mlozi, kila kimoja na tumba lake na ua lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vikombe vitatu vilivyofanana na maua yao. Vivyo hivyo vilikuwa katika matawi yote sita yaliyotoka katika mti wa kinara.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
vikombe vitatu, vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi vilikuwa katika tawi moja, tovu na ua; na vikombe vitatu, vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi, katika tawi la pili, tovu na ua; yalikuwa ni vivyo hivyo yale matawi sita yaliyokuwa katika hicho kinara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika kila tawi kulikuwa vikombe vitatu mufano wa maua ya lozi, kila kimoja na kifundo chake na ua lake.