Exodus 37:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na katika ufito kulikuwa na vikombe vinne mfano wa maua ya mlozi, pamoja na matumba yake na maua yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Juu ya kinara chenyewe kulikuwa vikombe vinne vya mfano wa maua ya mlozi yakiwa na matovu yake na maua yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika kinara mlikuwa na vikombe vinne, vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi, matovu yake na maua yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na katika ufito kulikuwa na vikombe vinne mfano wa maua ya mlozi, pamoja na matumba yake na maua yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya kinara kulikuwepo na vikombe vinne vyenye muundo kama maua ya mlozi, vikiwa na matovu yake na maua yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu ya kinara chenyewe kulikuwepo na vikombe vinne vya mfano wa maua ya mlozi yakiwa na matovu yake na maua yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika kinara mlikuwa na vikombe vinne, vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi, matovu yake na maua yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na katika ufito kulikuwa na vikombe vinne mfano wa maua ya mlozi, pamoja na matumba yake na maua yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini katika mti wa kinara vilikuwa vikombe vinne vilivyofanana na maua ya mlozi, yaani vifundo pamoja na maua yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika kinara mlikuwa na vikombe vinne, vilivyofanywa mfano wa maua ya mlozi, matovu yake na maua yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na katika muti kulikuwa vikombe vine mufano wa maua ya lozi, pamoja na vifundo vyake na maua yake.