Exodus 37:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matumba hayo na matawi vilikuwa kitu kimoja na kinara hicho, na chote kilifuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matovu na matawi yote yalikuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakiwa yamefuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hayo matovu yake na matawi yake yalikuwa ya kitu kimoja nacho; kinara hicho kizima chote pia ni kazi moja ya kufua ya dhahabu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matumba hayo na matawi vilikuwa kitu kimoja na kinara hicho, na chote kilifuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matovu na matawi vyote vilikuwa kitu kimoja na kinara cha taa, kikiwa kimefuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matovu na matawi yote yalikuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakiwa yamefuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hayo matovu yake na matawi yake yalikuwa ya kitu kimoja nacho; kinara hicho kizima chote pia ni kazi moja ya kufua ya dhahabu safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matumba hayo na matawi vilikuwa kitu kimoja na kinara hicho, na chote kilifuliwa kwa dhahabu safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vifundo na matawi yao yote ilikuwa kazi moja iliyoyatokeza yote pamoja kwa kuifua dhahabu iyo hiyo moja, nayo yalikuwa dhahabu tupu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hayo matovu yake na matawi yake yalikuwa ya kitu kimoja nacho; kinara hicho kizima chote pia ni kazi moja ya kufua ya dhahabu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vifundo hivyo na matawi vilikuwa kitu kimoja na kinara hicho na chote kilifuliwa kwa zahabu safi.