Exodus 37:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikitengenezea taa saba, koleo na visahani vyake kwa dhahabu safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza taa zake saba, na pia mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote kwa dhahabu safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya taa zake saba, na makoleo yake, na visahani vyake, vya dhahabu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikitengenezea taa saba, koleo na visahani vyake kwa dhahabu safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza taa zake saba, mikasi ya kusawazishia tambi pamoja na masinia ya dhahabu safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza taa zake saba, na pia mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote kwa dhahabu safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya taa zake saba, makoleo yake na visahani vyake, vya dhahabu safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikitengenezea taa saba, koleo na visahani vyake kwa dhahabu safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza taa zake saba; nazo koleo zake na makato yake yote yalikuwa dhahabu tupu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya taa zake saba, na makoleo yake, na visahani vyake, vya dhahabu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza taa zake saba, koleo zake na visahani vyake kwa zahabu safi.