Exodus 37:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikitengeneza kinara hicho na vifaa vyake kwa kilo thelathini na tano za dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza kinara hicho cha taa pamoja na vifaa vyake vyote kutumia talanta moja ya dhahabu safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akakifanya cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo vyake vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikitengeneza kinara hicho na vifaa vyake kwa kilo thelathini na tano za dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza kinara hicho cha taa pamoja na vifaa vyake vyote kutoka kwenye talanta moja ya dhahabu safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza kinara hicho cha taa pamoja na vifaa vyake vyote kutumia talanta moja ya dhahabu safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akakifanya cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo vyake vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikitengeneza kinara hicho na vifaa vyake kwa kilo thelathini na tano za dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alikitengeneza kinara pamoja na vyombo vyake kwa kipande cha dhahabu chenye uzito wa mizigo miwili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akakifanya cha talanta moja ya dhahabu safi, pamoja na vyombo vyake vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza kinara hicho na vifaa vyake kwa kilo makumi tatu na tano za zahabu.