Exodus 37:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yote aliipaka dhahabu safi: Upande wake wa juu, pande zake za ubavuni na pembe zake; pia aliitengenezea ukingo wa dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafunika hayo madhabahu juu na pande zote na pia zile pembe zake kwa dhahabu safi, na akayafanyizia ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaifunika dhahabu safi, upande wa juu, na mbavu zake pande zote, na hizo pembe zake; akaifanyia na ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yote aliipaka dhahabu safi: upande wake wa juu, pande zake za ubavuni na pembe zake; pia aliitengenezea ukingo wa dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sehemu ya juu ya meza pande zake zote pamoja na zile pembe zilifunikwa kwa dhahabu safi, pia akazitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafunika hayo madhabahu juu na pande zote na pia zile pembe zake kwa dhahabu safi, na akayafanyizia ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaifunika dhahabu safi, upande wa juu, na mbavu zake pande zote, na hizo pembe zake; akaifanyia na ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yote aliipaka dhahabu safi: Upande wake wa juu, pande zake za ubavuni na pembe zake; pia aliitengenezea ukingo wa dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaifunikiza dhahabu tupu juu yake na kando yake pande zote na pembe zake, akazungusha juu yake taji ya dhahabu pande zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaifunika dhahabu safi, upande wa juu, na mbavu zake pande zote, na hizo pembe zake; akaifanyia na ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yote aliipakaa zahabu safi: upande wake wa juu, pande zake za ubavu na pembe zake. Vilevile akaitengenezea ukingo wa zahabu.