Exodus 37:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza pete mbili za dhahabu chini ya ukingo kwenye pande mbili zinazokabiliana. Pete hizo zilitumika kushikilia mipiko ya kuibebea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, zikiwa mbili kila upande, za kushikilia mipiko iliyotumika kubebea madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaifanyia vikuku viwili vya dhahabu na kuvitia chini ya ukingo wake, katika mbavu zake mbili, katika pande zake mbili, viwe ni mahali pa hiyo miti ya kuichukulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza pete mbili za dhahabu chini ya ukingo kwenye pande mbili zinazokabiliana. Pete hizo zilitumika kushikilia mipiko ya kuibebea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza pete mbili za dhahabu chini ya huo ukingo, mbili kila upande, ili zishikilie ile mipiko iliyobebea hiyo madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, zikiwa mbili kila upande, za kushikilia hiyo mipiko iliyotumika kuyabebea madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaifanyia vikuku viwili vya dhahabu na kuvitia chini ya ukingo wake, katika mbavu zake mbili, katika pande zake mbili, viwe ni mahali pa hiyo miti ya kuichukulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza pete mbili za dhahabu chini ya ukingo kwenye pande mbili zinazokabiliana. Pete hizo zilitumika kushikilia mipiko ya kuibebea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaitengenezea mapete mawili ya dhahabu, akayatia chini ya taji pande zake mbili penye mbavu zake mbili, yawe ya kutilia mipiko ya kuichukulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaifanyia vikuku viwili vya dhahabu na kuvitia chini ya ukingo wake, katika mbavu zake mbili, katika pande zake mbili, viwe ni mahali pa hiyo miti ya kuichukulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza pete mbili za zahabu chini ya ukingo kwenye pande mbili zinazoelekeana. Pete hizo zilitumika kushikilia miti ya kuibebea.