Exodus 37:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza mafuta matakatifu ya kupaka, na ubani safi wenye harufu nzuri uliochanganywa vizuri kama manukato.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akatengeneza mafuta matakatifu ya upako, na uvumba safi wenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akayafanya hayo mafuta matakatifu ya kutiwa, na ule uvumba safi wa viungo vya manukato vizuri, kwa kuandama kazi ya mtengezaji manukato.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza mafuta matakatifu ya kupaka, na ubani safi wenye harufu nzuri uliochanganywa vizuri kama manukato.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akatengeneza mafuta matakatifu ya upako na uvumba safi, wenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akatengeneza mafuta matakatifu ya upako, na uvumba safi wenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akayafanya hayo mafuta matakatifu ya kutiwa, na ule uvumba safi wa viungo vya manukato vizuri, kwa kuandama kazi ya mtengezaji manukato.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza mafuta matakatifu ya kupaka, na ubani safi wenye harufu nzuri uliochanganywa vizuri kama manukato.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza mafuta matakatifu ya kupaka na mavukizo yanukayo vizuri yasiyochanganyika na mengine, kama mafundi wa kutengeneza manukato wanavyojua kuyatengeneza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akayafanya hayo mafuta matakatifu ya kutiwa, na ule uvumba safi wa viungo vya manukato vizuri, kwa kuandama kazi ya mtengezaji manukato.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza mafuta matakatifu ya kupakaa na ubani safi wenye harufu nzuri uliochanganywa vizuri kama manukato.