Exodus 37:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha alitengeneza pete nne za dhahabu za kulibebea, akazitia kwenye pembe zake, kila pembe pete moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasubu pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akasubu pete nne za dhahabu kwa ajili yake, katika miguu yake minne; pete mbili upande wake mmoja na pete mbili upande wake wa pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha alitengeneza pete nne za dhahabu za kulibebea, akazitia kwenye pembe zake, kila pembe pete moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasubu pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na nyingine mbili upande mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasubu pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akatengeneza pete nne za dhahabu kwa ajili yake, katika miguu yake minne; pete mbili upande wake mmoja na pete mbili upande wake wa pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha alitengeneza pete nne za dhahabu za kulibebea, akazitia kwenye pembe zake, kila pembe pete moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza mapete manne kwa kuyeyusha dhahabu, akayatia penye pembe zake nne, mapete mawili upande wake mmoja, tena mapete mawili upande wake wa pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akasubu pete nne za dhahabu kwa ajili yake, katika miguu yake minne; pete mbili upande wake mmoja na pete mbili upande wake wa pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akatengeneza pete ine za zahabu za kulibebea, akazitia kwenye pembe zake, kila pembe pete moja.