Exodus 37:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mipiko hiyo akaipitisha katika zile pete zilizo katika pande mbili za sanduku, kwa ajili ya kulibebea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaitia hiyo miti katika zile pete zilizokuwa ubavuni mwa sanduku, ili kulichukua hilo sanduku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mipiko hiyo akaipitisha katika zile pete zilizo katika pande mbili za sanduku, kwa ajili ya kulibebea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaiingiza ile mipiko ndani ya zile pete kwenye pande za Sanduku ili kulibeba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaitia hiyo miti katika zile pete zilizokuwa ubavuni mwa sanduku, ili kulichukua hilo sanduku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mipiko hiyo akaipitisha katika zile pete zilizo katika pande mbili za sanduku, kwa ajili ya kulibebea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaitia mipiko hiyo katika yale mapete pande zote mbili za Sanduku, iwe ya kulichukulia Sanduku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaitia hiyo miti katika zile pete zilizokuwa ubavuni mwa sanduku, ili kulichukua hilo sanduku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miti hiyo akaipitisha katika zile pete zinazokuwa katika pande mbili za sanduku, kwa ajili ya kulibebea.