Exodus 37:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake sentimita 110, na upana wake sentimita 66.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza kifuniko cha upatanisho kwa dhahabu safi: urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akafanya kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu na upana wake ulikuwa dhiraa moja na nusu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake sentimita 110, na upana wake sentimita 66.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza kifuniko cha upatanisho kwa dhahabu safi: urefu wake dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza kifuniko cha upatanisho kwa dhahabu safi: urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akafanya kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu na upana wake ulikuwa dhiraa moja na nusu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake sentimita 110, na upana wake sentimita 66.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akakitengeneza kifuniko kuwa Kiti cha Upozi cha dhahabu tupu, urefu wake ulikuwa mikono miwili na nusu, nao upana wake ulikuwa mkono mmoja na nusu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akafanya kiti cha rehema cha dhahabu safi; urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu na upana wake ulikuwa dhiraa moja na nusu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza kiti cha rehema cha zahabu safi; urefu wake sentimetre mia moja na kumi na upana wake sentimetre makumi sita na sita.