Exodus 37:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kiumbe kimoja mwisho huu na kingine mwisho mwingine. Alitengeneza viumbe hivyo vyenye mabawa kwenye miisho ya kifuniko hicho, vikiwa kitu kimoja na kifuniko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza kerubi mmoja kwenye mwisho mmoja, na kerubi mwingine kwenye mwisho mwingine; akawatengeneza kuwa kitu kimoja na hicho kifuniko katika miisho hiyo miwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kerubi moja mwisho huu, na kerubi moja mwisho huu; alifanya hayo makerubi mawili ya kitu kimoja na hicho kiti cha rehema katika miisho yake miwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kiumbe kimoja mwisho huu na kingine mwisho mwingine. Alitengeneza viumbe hivyo vyenye mabawa kwenye miisho ya kifuniko hicho, vikiwa kitu kimoja na kifuniko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaweka kerubi moja mwisho huu na kerubi la pili mwisho mwingine; akayafanya kuwa kitu kimoja na hicho kifuniko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza kerubi mmoja kwenye mwisho mmoja, na kerubi mwingine kwenye mwisho mwingine; akawatengeneza kuwa kitu kimoja na hicho kifuniko katika miisho hiyo miwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kerubi moja mwisho huu, na kerubi moja mwisho huu; alifanya hayo makerubi mawili ya kitu kimoja na hicho kiti cha rehema katika miisho yake miwili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kiumbe kimoja mwisho huu na kingine mwisho mwingine. Alitengeneza viumbe hivyo vyenye mabawa kwenye miisho ya kifuniko hicho, vikiwa kitu kimoja na kifuniko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kerubi moja akaliweka upande wa mwisho wa huku, nalo la pili upande wa mwisho wa huko. Ndivyo, alivyoyaweka hayo Makerubi pande zake zote mbili za mwisho wa Kiti cha Upozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kerubi moja mwisho huu, na kerubi moja mwisho huu; alifanya hayo makerubi mawili ya kitu kimoja na hicho kiti cha rehema katika miisho yake miwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kerubi mumoja mwisho huu na mwingine mwisho mwingine. Akatengeneza makerubi wale kwenye miisho ya kifuniko hicho, wakikuwa kitu kimoja na kifuniko.